Siku ya Nne ya Ziara ya Kikazi ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan a Bunda na Butiama Mkoani Mara tarehe 07 Februari, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya kusafisha pamoja na kutibu Maji katika Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Miembeni katika Wilaya ya Bunda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ambaye ni mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati akielekea katika Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuweka shada la maua Butiama Mkoani Mara tarehe 07 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ambaye ni mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi mara baada ya kuweka shada la maua katika Kaburi hilo la Baba wa Taifa Butiama mkoani Mara tarehe 07 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Butiama mkoani Mara wakati akielekea Bunda mkoani humo  tarehe 07 Februari, 2022.
 
Sehemu ya Wananchi wa Butiama wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao tarehe 07 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Bunda mkoani Mara baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Mradi wa Miundombinu ya kusafisha pamoja na kutibu Maji katika Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Miembeni katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara tarehe 07 Februari, 2022.
Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Joshua Nassari akiwa amesimama kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumtaja wakati akizungumza na Wananchi wa Wilaya hiyo Mkoani Mara tarehe 07 Februari, 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *