Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 30 Mei, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala  aliyeambatana na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala kwenye  picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kikosi kazi hicho mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2022.Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *