TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Mstaafu Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).

Uteuzi huu ni kuanzia tarehe 30 Juni, 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *