Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA ) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo tarehe 07 Jullai, 2022.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA ) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo tarehe 07 Julai, 2022.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA ) Axel van Trotsenburg mara baada ya mazungumzo yao Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.
Post navigation
← Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki Mkutano wa IDA 20 Summit for Afrika, Dakar Senegal Tarehe 07 Julai, 2022
UTEUZI →