RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI WA MALAWI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MACHI 10,2014

unnamed

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio Emmanuel John ikulu jijini Dar es Salaam Machi 10,2015

2wywywy

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam Machi, 10, 2015

unnamed-4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi na Tanzania.Jenerali Ignacio Emmanuel John Maulana (kushoto) na mwenyeji Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) ikulu jijini Dar es Salaam Machi 102015

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *