CHAKULA CHA USIKU KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, TAWI LA DAR ES SALAAM, KWENYE UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE USIKU WA IJUMAA, MACHI 12, 2015.

unnamed

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  na viongozi wengine meza kuu wakati wa  sala ya Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete aliwezesha kupatikana kwa sh. bilioni 1.6 mbali na ahadi na fedha zitakazopatikana kutokana na bidhaa zilizouzwa kwa njia ya mnada.

unnamed-1

 

unnamed-2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete aliwezesha kupatikana kwa sh. bilioni 1.6 mbali na ahadi na fedha zitakazopatikana kutokana na bidhaa zilizouzwa kwa njia ya mnada.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *