ZIARA YA RAIS JAKAYA KIKWETE MKOANI RUVUMA WILAYA YA MBINGA

ufungzi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Wairi wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bwana Servasius Likwelile, mwenyekiti  wa mfuko  MCC Tanzania Bwana Bernard Mchomvu.

stand

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa jiwe la Msingi kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma Julai 19,2014.Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.

D92A4573

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akiangalia ngoma za asali za wenyeji wa wilaya ya Mbinga alipokwenda kufungua barabara yenye urefu wa kilometa 78 pamoja na kuzindua rasmi stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma Julai 19,2014 .Rais Kikwete yupo mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.

picha pamoja

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya  pamoja na viongozi na wadau wa barabara baada ya kufungua rasmi Barabara ya kilometa 78 ya Peramiho –Mbinga mjini  Julai 19,2014. 

mw

 

maabara

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Sekondari  ya Wasichana Mbinga(Mbinga girls) akifanya jaribio la sayansi katika maabara ya Chemistry huku Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akishuhudia wakati Rais alipokwenda shuleni hapo kuzindua maabara za masomo ya sayansi.Rais Kikwete yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo

wanfz

Mwanafunzi wa shule ya Sekondari  ya Wasichana Mbinga(Mbinga girls) wakimsikiliza Rais alipofanya ziara katika shule hiyo na kuifungua rasmi. Rais yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi 

walim

 

Rais kikwete katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Mbinga(Mbinga girls. Rais yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi 

umeme

Rais kikwete akiangalia mfumo wa kufua umeme wa shule  ya sekondari ya Mbinga(Mbinga girls)

kuwasili

 

kufg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kituo cha afya katika Gereza la Kitai wilayani Mbinga julai 19,2014 Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo Alexander Richard Nyefwe,Kituo hicho kitatoa huduma kwa askari magereza,wafungwa na vijiji jirani.

 

ANGALIA VIDEO RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIVYOTEMBELEA SHAMBA LA KAHAWA LA AVIV FARM LINALOMILIKIWA NA KAMPUNI YA OLAM  NA BAADAE KUFUNGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MKENDA MPAKANI MWA TANZANIA NA MSUMBIJI WILAYANI MBINGA MKOANI RUVUMA JULAI 20,2014

wdwdw

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miche bora ya kahawa mkulima mdogo Bi Dorothea Komba wakati alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam katika kijiji cha Lipokela wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma Julai 20,2014 .Kampuni ya Olam imepanga kutoa jumla ya miche milioni tatu kwa wakulima wadogo elfu mbili katika vijiji vinne vinavyozunguka shamba hilo katika kipindi cha miaka mitano ili kuwashirikisha kuzalisha kahawa bora.

D92A6169

 

 

hhkkb

Meneja wa Shamba la Kahawa la AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam Bwana Medappa Ganapati akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mche bora wa kahawa iliyozaa vyema wakati Rais alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa katika kijiji cha Lipokela, wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma julai 20,2014

D92A6622

 

 

nhijij

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua Soko la Kimataifa la Mkenda lililopo katika kijji cha Mkenda Mpakani mwa Msumbiji na Tanzania Julai 20,2014 kulia ni mbunge wa Peramiho Mh.Jenister Mhagama.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Ruvuma

D92A6517

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa amembeba mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana Rais alimbeba mtoto huyo aliposimama njiani wakati akielekea Mkenda mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kufungua soko la kimataifa la Mkenda julai 20,2014

mganda

 

mgada

 

mgolole (1)

Ngoma ya asili ya Mganda ilinogesha katika ufunguzi wa  stendi ya Mabasi mjini Mbinga Mkoani Ruvuma Julai 19,2014, stendi hiyo ilifunguliwa na  Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiwa Mkoani Ruvuma Katika ziara ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *