RAIS KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU APRIL 12, 2015

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akihutubia wakati wa ibada ya kumsimika askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu  ibada ya kumweka wakfu ilifanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini April 12, 2015

1ffhfuf

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini April 12, 2015

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kadinali Pengo wakati wa ibada ya kuwekwa  wakfu askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu ibada  iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini April 12, 2015

2

 

 

4

 

3

 

1

Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu akiendesha  ibada ya misa  baada ya  kumweka wakfu  katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo  Shinyanga Mjini April 12, 2015

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *