RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA MASHUJAA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA YA ALGERIA MEI 10, 2015

 

1NGDG

 

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mashujaa wa Algeria,  Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu.

4

 

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo wakati alipotembelea Makumbusho ya Taifa la Algeria, Mjini Algiers, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu. 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *