RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AZURU MAENEO YA MAFURIKO MJINI DAR ES SALAAM NA KUJIONEA UHARIBIFU, MEI 12, 2015

1

 

2

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mei 12,2015  amekagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo Maeneo Aliyotembelea Rais  ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la mto Msimbazi jangwani ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha. Pichani Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipata

3

 

4

 

5

 

6

Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam 

7

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la Jangwani

8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *