DKT.JOHN POMBE MAGUFULI, DKT.ASHA ROSE MIGIRO NA AMINA SALUM ALI WATANGAZWA TATU BORA

WATANGAZA nia Kuomba Chama Cha Mapinduzi CCM kuwachagua katika kugombea kiti cha urais mwezi Oktoba 2015  Dkt. John Pombe Magufuli,Dkt. Asha Rose Migiro na Balozi Amina Salum Ali wa Chama cha Mapinduzi CCM wameingia hatua ya tatu bora na kuwatupa nje Bernard Membe na Januari Makamba. Watatu hao sasa wameingia katika kikaango cha mwisho cha Mkutano Mkuu ambapo watapigiwa kura na hatimaye kumpata mmoja ambae atapeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Aidha wamepigiwa kura na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa usiku huu na matokeo yanategemewa kutangazwa kesho Julai 12,2015 saa.4 asubuhi

CHT_QXzWsAAgx83

Balozi Amina Salum Ali 

11

Dk Asha Rose Migiro

1

Dk John Pombe Magufuli

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *