MKUTANO MKUU MAALUM WA UCHAGUZI WA MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM WAFANYIKA USIKU HUU MJINI DODOMA JULAI 11,2015

1

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi CCM katika ukumbi mpya wa Mikutano wa CCM Dodoma julai 11,2015

DSC_0337

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza kufanyika uchaguzi wa mgombea Urais mwaka 2015

DSC_0257

wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam wakifuatilia Hotuba ya mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete

DSC_0123

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na aliyekuwa mmoja wa wagombea urais kwa tiketi ya CCM Waziri Mkuu wa Mstaafu Edward Lowassa, wakati wa mkutano huo. 

DSC_0289

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu 

DSC_0281

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu 

DSC_0279

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Fatma Said Ally akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu 

2Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura yake wakati wa mkutano huo.

2 (2)

 

2 (1)

Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na watoto wa Rais jakaya mrisho kikwete wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *