RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA TATU CHUO KIKUU CHA JESHI (NATIONAL DEFENCE COLLEGE) KUNDUCHI JIJINI DARE S SALAAM JULAI 24, 2015

1dvfdfvfv Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi na medali ya dhahabu ya mwanafunzi bora katika kozi ya tatu ya National Defence College(NDC) Brigedia Jenerali Aloyce Damian Mwanjile wakati wa mahafali iliyofanyika chuoni huko Kunduchi jijjini Dar es Salaam julai 24,2015  

2 Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi ya Tatu ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa(National Defence College NDC) huko Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.Aliyeketi Pembeni ya Rais kulia ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange na aliyeketi pembeni ya Rais Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Gaudence Salim Milanzi.  

3Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange baada ya kutunuku vyeti na zawadi kwenye mahafali ya kozi ya tatu ya National Defence College iliyofanyika Kunduchi jijini Dar es Salaam leo ambapo jumla ya wanafunzi  42 walihitimu masomo yao.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *