RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE NA WENZAKE WAWILI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELIKOPTA OKTOBA 17, 2015

2wee

D92A8561

 

IMG_5873

 

IMG_5880

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgombea Urais wa tiketi ya CCM Dkt.John Pimbe Magufuli wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake wawili waliofariki katika ajali ya helikopta Oktoba 15,2015 katika pori la akiba la mbuga ya wanyama  Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17,2015

IMG_5868

 

IMG_5877

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam  Oktoba 17,2015