MWENYEKITI WA CCM TAIFA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JAKAYA MRISHO AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI JIJINI LA DAR ES SALAAM OKTOBA 23,2015

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye mkutano wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi.

  Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakimnadi mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.

 Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Jangwani jijini Dar es Salaam.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.  

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati wa mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Jangwani..

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofurika kusikiliza sera na mipango ya CCM .

 

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano mkubwa wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi uliofanyika kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

 Umati wa wananchi waliohudhuria  Jangwani

 

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu kwenye mkutano mkubwa wa kampeni Jangwani, jijini Dar es Salaam.

 Mke wa mgombea wa urais kupitia CCM Mama Janeth Magufuli akihutubia wakazi wa Dar es Salaam waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jangwani .

 

 

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi ndug.Jerry Silaa mgombea ubunge jimbo la Ukonga kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi ndug. Abas Zuber mtevu mgombea ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *