Daily Archives: October 6, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleop Afrika (BADEA) akutana na kuzungumza na Baadhi ya Mawaziri na Watendaji Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 05 Oktoba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 05 Oktoba 2021 akizungumza na baadhi ya Mawaziri akiwemo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Tamisemi Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba pamoja na baadhi ya Watendaji wa Taasisi mbalimbali za  Serikali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 05 Oktoba 2021.
.