Daily Archives: October 13, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Apokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa China Mhe. Chen Mingjian Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa China Mhe. Chen Mingjian Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kupokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Chen Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Amuapisha Jaji Kiongozi, Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mkuu wa Mkoa Shinyanga tarehe 11 Oktoba, 2021 Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Sofia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Baadhi ya Viongozi na Watumishi wa Serikali mara baada ya kuwaapisha Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mhe. Sofia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwaapisha Jaji Mustapha Siyani kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mhe. Sofia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.