Daily Archives: October 24, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ahutubia Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake (UWT) Rufiji tarehe 23 Oktoba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akipokea maandamano  katika  Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT.
.
.
Viongozi wa Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam wakiwa katika  Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mara baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mwenyekiti wa UWT Mama Gaudensia Kabaka baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Msanii Ikuzi Kicheko (Mzalendo Halisi) baada ya kuonesha usanii wake kwenye Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.