Monthly Archives: May 2022

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ahudhuria Sala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaam Tarehe 27 Mei, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally, alipowasili katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es salaam kwa ajili ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoka katika Msikiti Mkuu wa Bakwata Kinondoni Jijini Dar Es salaam baada ya kumalizika kwa Swala ya Ijumaa tarehe 27 Mei 2022.