Daily Archives: May 9, 2022

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Azungumza katika Uzinduzi wa Filamu ya ‘Tanzania The Royal Tour’ Jijini Dar es Salaam Tarehe 08 Mei, 2022

Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa katika uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre tarehe 08 Mei, 2022
Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa katika uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre tarehe 08 Mei, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, Mwenyekiti wa Kamati ya Royal Tour Dkt. Hassan Abbas pamoja na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakitazama vikundi mbalimbali vya ngoma za asili wakati wa shamrashamra za uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre tarehe 08 Mei, 2022.
Wajumbe wa Kamati ya Tanzania The Royal Tour wakifurahia Tuzo yao waliokabidhiwa na Bodi ya Filamu na Shirikisho la Filamu Tanzania kutokana na kazi kubwa waliofanya wakati wa utengenezaji na Utangazaji wa Filamu hiyo ya Tanzania Royal Tour
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Tanzania The Royal Tour Dkt. Hassan Abbas mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Filamu ya hiyo tarehe 08 Mei, 202