Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, afungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma Tarehe 07 Juni, 2022 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022. Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022. . .
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Tarehe 07 Juni, 2022 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Cuba hapa nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Cuba hapa nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Cuba hapa nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022 Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Shibru Kedida katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Shibru Kedida mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Shibru Kedida mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Mhe. Andrey Levonovish Avetsyan katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 07 Juni, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Andrey Levonovish Avetsyan mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Andrey Levonovish Avetsyan, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Oman hapa nchini Mhe. Saud Hilal Al Shidhani Ikulu Chamwino tarehe 07 Juni, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman hapa nchini Mhe. Saud Hilal Al Shidhani mara baada ya kukabidhi Hati zake za utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Oman hapa nchini Mhe. Saud Hilal Al Shidhani Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.