Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kuswali Swala ya Eid al- Adha kwenye Msikiti Maarufu kwa jina la ‘Msikiti wa Mwinyi’ Mikocheni B Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Julai, 2022