Daily Archives: November 17, 2022

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 6 wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Tarehe 17 Novemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Irani nchini Tanzania Mhe. Hossein Alvand Behineh mara baada ya mazungumzo, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Loyang Johnson Okot Jekery, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Tanzania Mhe. Tereza Zitting kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Tanzania Mhe. Tereza Zitting mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Finland nchini Tanzania Mhe. Tereza Zitting mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Hispania hapa nchini Mhe. Jorge Moragas Sánches mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Hispania hapa nchini Mhe. Jorge Moragas Sánches mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Hispania hapa nchini Mhe. Jorge Moragas Sánches mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Canada hapa nchini Mhe. Kyle Michael Nunas mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Kyle Michael Nunas mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Kyle Michael Nunas mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapa nchini Jean -Pierre Kassala mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hapa nchini Jean -Pierre Kassala mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 16 Novemba, 2022.