Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Kilichofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Tarehe 08 Februari, 2023 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 February 2023. . .
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum ambaye ni Mwanafamilia wa Utawala wa Mji wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Tarehe 06 Februari, 2023 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanafamilia wa Watawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Jengo la Kihistoria la Zanzibar, Bait el Ajaib, Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.