Daily Archives: February 18, 2023

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 36 wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza kwenye Mkutano wa 36 Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud katika Ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023.