Daily Archives: March 8, 2023

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Akisalimiana Na Wananchi Wa Eneo La Bomang`Ombe Tarehe 08 Machi, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliokusanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro tarehe 08 Machi, 2023. 