Daily Archives: March 31, 2023

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amuandalia Futari Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Wa kwanza kulia ni Mume wa Makamu huyo wa Rais Douglas Emhoff, Wa kwanza kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wakati wa Futari aliyomuandalia mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris akizungumza na viongozi mbalimbali katika Futari aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris pamoja na Mume wa Makamu huyo wa Rais Douglas Emhoff mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa mara baada ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023.
.