Daily Archives: May 19, 2023

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan azindua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) Tarehe 19 Mei, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Mabalozi pamoja na Wageni mbalimbali kutoka Nje ya nchi kabla ya kuzindua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Viongozi, Mabalozi pamoja na Wageni mbalimbali kutoka Nje ya nchi wakiwa kwenye uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Mei, 2023. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.
.