Daily Archives: May 24, 2023

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimwapisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Tarehe 24 Mei, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kumwapisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Said Mohamed Mtanda mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027 Tarehe 24 Mei, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia pamoja na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Balozi Pindi Chana, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda