Daily Archives: July 9, 2023

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi, Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 8 Julai, 2023.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa India Mhe. Subrahmanyam Jaishankar aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 8 Julai, 2023.