
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Makamu wa Rais wa Zambia Mhe. Mutale Nalumango aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2023.
