Daily Archives: August 17, 2023

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan apokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Tarehe 17 Agosti, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodomatarehe 17 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kupokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Ikulu Mkoani Dodomatarehe 17 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Kamisaa wa Sensa, Tanzania Bara Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Kamisaa wa Sensa, Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Hamza pamoja na Watakwimu mara baada ya kupokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Makatibu Wakuu na Naibu Makati Wakuu, Kamisaa wa Sensa, Tanzania Bara Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Kamisaa wa Sensa, Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Hamza mara baada ya kupokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda akizungumza na Viongozi mbalimbali wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.