Daily Archives: August 18, 2023

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-

  1. Amemteua Mhe. Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).
  • Amemteua Mhe. Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Ushirika Moshi (MoCU).

Uteuzi huu unaanza mara moja.