Monthly Archives: November 2023

Rais Samia Suluhu Hassan asalimiana na Wananchi ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8 alipokuwa akisafiri kutoka Zanzibar kwenda Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wafanyakazi wa Meli ya MV Kilimanjaro 8 kabla ya kuingia ndani ya Meli hiyo alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam  tarehe 28 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi mbalimbali ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8 alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam  tarehe 28 Novemba, 2023.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8 alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam  tarehe 28 Novemba, 2023.
 

Rais Samia Suluhu Hassan awapongeza Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Ikulu Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 25 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati chini ya Umri wa miaka 15 (CECAFA U-15) kutoka kwa Nahodha wa Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Mohamed Ali Mohamed wakati wa hafla ya kuwapongeza Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Karume Boys, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 25 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Kombe la Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati chini ya Umri wa miaka 15 (CECAFA U-15) mara baada ya kukabidhiwa na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Vijana Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Mohamed Ali Mohamed wakati wa hafla ya kuwapongeza Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Karume Boys, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 25 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Kipa Bora Gloves kutoka kwa Kipa bora wa Mashindano ya CECAFA U-15 Mahir Abdallah Amour wakati wa hafla ya kuwapongeza Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Karume Boys, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 25 Novemba, 2023.