Daily Archives: November 6, 2023

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni Tarehe 05 Novemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambao umewasilishwa kwake na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja  na Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa mara baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja  na Ujumbe wa Uganda ukiongozwa na  Waziri wa Nishati wa Uganda Balozi Ruth Nankabirwa mara baada ya kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni. Wengine ni Ujumbe kutoka Tanzania ulioshiriki katika makabidhiano hayo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023.