Category Archives: Uzinduzi/Ufunguzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI KUPITIA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III) JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF iii) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Kitabu cha Utekelezaji wa Mpango huo wa TASAF pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, mara baada ya kuzindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuzindua Kipindi cha awamu ya Tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Kitabu cha Utekelezaji wa Mpango huo wa TASAF III kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuuzindua katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre JNICC 

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI WILAYA YA KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM, PAMOJA NA MAJENGO YA MKUU WA WILAYA NA HALMASHAURI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng’ulwabuzu Ludigija akimpa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la
Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi. Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe. Sarah Msafiri akiwa na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng’ulwabuzu Ludigija na viongozi wengine baada ya kufungua rasmi jengo la Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi. Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng’ulwabuzu Ludigija akimpa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo la
Halmashauri ya Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi. Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuzindua rasmi jengo la Mkuu wa Wilaya. Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na na viongozi wengine akikata utepe kuzindua jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi.  Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana  na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kuzindua jengo la Mkuu wa Wilaya hiyo baada ya kulifungua rasmi.  Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Faustine Ndugulile wakiwea saini
vitabu vya wageni katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe
Sarah Msafiri na viongozi wengine baada ya kulifungua rasmi jengo la
ofisi hizo.  Februari 11, 2020. Waliosimama ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni Bw. Ng’ulwabuzu Ludigija

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea na wananchi baada ya kufungua rasmi majengo ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni na la Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuizindua rasmi Wilaya hiyo.  Februari 11, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wilaya baada ya kufungua rasmi majengo ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni na la Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuizindua rasmi Wilaya hiyo.  Februari 11, 2020