Category Archives: Hotuba

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZA SIKU NNE ZA MAOMBOLEZO KUANZIA SEPTEMBA 21,2018 KUFUATIA AJALI YA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV NYERERE KATIKA ZIWA VICTORIA WILAYANI UKEREWE MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kuhusiana na ajali ya kuzama kwa Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake kati ya kisiwa cha Bugolora na Ukara katika ziwa Victoria Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza ambapo watu 131 wanahofiwa kupoteza maisha. Pia Rais Dkt. Magufuli ametangaza siku nne za Maombolezo kuanzia tarehe 21 Septemba 2018.

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA MTWARA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA MKOANI MTWARA MARCH 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mtwara katika siku ya mwisho wa ziara yake katika Viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara.

Wananchi wa Mtwara wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Viwanja vya mashujaa mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa Mtwara mara baada ya kumaliza kuwahutubia katika viwanja vya Mashujaa Mkoani Mtwara March 5, 2017 ( Bofya blog kwa habari na