

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia zawadi ya Picha ya kuchora aliyopewa na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam