Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan awasili mkoani Mwanza na Kuzindua Kiwanda cha kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery Limited Mkoani Mwanza tarehe 13 Juni, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Madini Doto Biteko, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza Antony Dialo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na viongozi mbalimbali, akivuta utepe kuzindua Kiwanda cha kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery Limited kilichopo Sabasaba mkoani Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Madini Doto Biteko, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza Antony Dialo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na viongozi mbalimbali, akikata utepe kuzindua Kiwanda cha kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery Limited kilichopo Sabasaba mkoani Mwanza .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea kiwanda cha kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery Limited kujionea hatua mbalimbali za upokeaji malighafi, usafishaji pamoja na upatikanaji wa Dhahabu iliyosafishwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *