Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan azungumza na Vijana wa Mkoa wa Mwanza katika mkutano uliofanyika katika Uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza tarehe 15 Juni, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana wa Mkoa wa Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021 katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza
Sehemu ya Vijana waliohudhuria Mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza
Vijana mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza pamoja na maeneo mbalimbali nchini wakicheza katika shamrashamra za mkutano huo kabla ya kuanza kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *