Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amaliza ziara yake ya siku 3 mkoani Mwanza Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha mkoa wa Mwanza wakati akielekea kuagana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Mkoa mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku 3 mkoani Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mwanza, mikoa jirani, pamoja na Wabunge mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku 3 na kuondoka mkoani Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi wakati akiondoka mkoani Mwanza