TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 19 Juni, 2021  amemteua Prof. Hamisi Masanja Malebo kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asilia na Tiba Mbadala.

Kabla ya uteuzi huu Prof. Malebo alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Shirika la Kimataifa linaloshughulikia Maswala ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Tanzania.

Uteuzi huo umeanza tarehe 19 Juni, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *