Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi wawili, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 21 Juni, 2021 Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Batilda Salha Buriani kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma tarehe 21 Juni, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma tarehe 21 Juni, 2021