Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Arejea Nchini Akitokea Nchini Msumbiji Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma tarehe 23 Juni, 2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma 23 Juni, 2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).