Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan azungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.