Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Apokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2021 Ikulu, Jijini Dar es Salaam Leo Tarehe 21 Agosti, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali, Vyama vya Siasa,Tume ya Uchaguzi, Mabalozi kutoka nchi mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika mwaka jana (2020).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Pamoja na Mabalozi mbalimbali mara baada ya hafla ya upokeaji wa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *