Siku ya Pili ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Arusha Tarehe 18 Oktoba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu  uandaaji wa Nyama mara baada ya kuzindua kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas LTD kiliopo Eurendeke Longido Mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi Mkubwa wa Maji safi na Salama Longido Mkoani Arusha.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Longido mkutano wa Hadhara uliofanyika tarehe 18 Oktoba 2021 katika Uwanja wa Stendi mpya Longido Mkoani Arusha. 
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigusa maji mara baada ya kuzindua mradi wa Maji Safi wa Longido tarehe 18 Oktoba, 2021 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Stendi mpya Longido mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Londigo mara baada ya kuzindua mradi huo wa Maji Safi Longido mkoani Arusha.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kuondoka na kurejea Jijini Dodoma mara baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 2 ya kikazi mkoani Arusha.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akitokea Mkoani Arusha
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *