TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Joseph Kuzilwa, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo.

Uteuzi huo umeanza tarehe 21 Oktoba, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *