Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mabenki ya Standard Charted katika ngazi ya Kimataifa José Viñals mara baada ya mazungumzo yao Glasgow Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro wakati akielekea kwenye Mkutano maalumu wa Viongozi Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano huo maalumu wa Viongozi Wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi mbalimbali Wanawake katika Mkutano huo maalumu wa COP 26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.