Mhe. Rais Samia SULUHU HASSAN Akutana na Kuzungumza na Katibu Mtendaji wa African Leaders Malaria Allance (ALMA) Leave a reply Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mtendaji wa African Leaders Malaria Alliance (ALMA) Bibi. Joy Phumaphi, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 08 Novemba, 2021.